An Inspiration

Mwanadamu yeyote huzaliwa, huishi, hutaabika/hunufaika na hatimae hufariki. Kitutofautishacho kila mmoja na mwingineni ndoto zetu… Hizo ndoto ziwe yalo ya dunia ama yalo vuka dunia; na ni jinsi gani kila mmoja husimamia na kuhakikisha hio (zo) ndoto imefika mahala  ilipolengwa… Lakini hata hivyo kuna wale wasioota kabisa na kuishi kama gofu…

Hatuchagui kuzaliwa, hatuchagui wazazi wetu, wala hatuchagui mazingira tutayozaliwa na yenye hali ipi, Wala jinsi tutavyolelewa na watakao husika katika kukulea.. Wengi kama si woote hatuchagui kwamwe wala kupenda kufa-na Wala hatuchagui mda na jinsi gani tutafariki…. Continue reading

Advertisements
By ashadii